Hebrews 10:1

Dhabihu Ya Al-Masihi Ni Mara Moja Tu

1 aTorati ni kivuli tu cha mambo mema yajayo, wala si uhalisi wa mambo yenyewe. Kwa sababu hii, haiwezekani kamwe kwa njia ya dhabihu zitolewazo mwaka hadi mwaka kuwakamilisha wale wanaokaribia ili kuabudu.
Copyright information for SwhKC